Wazazi wetu ni watu wa kuheshimu kuliko kitu chochote. Wanaweza kuona tusipoweza kuona nyuma na mbele ya tarehe zetu za kuzaliwa.
Enock Maregesi
-
Next Quote
Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto kiongozi wa ahera akukaribishe bazarai makao makuu ya ahera kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda zaidi kuliko unaowapenda. Anayejiua hujifikiria zaidi yeye kuliko wengine.
- Enock Maregesi -
Previous Quote
Las Vegas. Madhali umeona tunafanya nini katika maisha fumba macho kwa kuyakodoa. Wanaosema hawajui wanaojua hawasemi. Siri ni siri milele. Kinachofanyika hapa hubakia hapa.
- Enock Maregesi -