Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto kiongozi wa ahera akukaribishe bazarai makao makuu ya ahera kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda zaidi kuliko unaowapenda. Anayejiua hujifikiria zaidi yeye kuliko wengine.
Enock Maregesi
-
Next Quote
Migogoro inatokea kwa sababu watu wameshindwa kuheshimiana. Ukijiheshimu na ukaheshimu wengine utaacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta wakati ukiingia.
- Enock Maregesi -
Previous Quote
Wazazi wetu ni watu wa kuheshimu kuliko kitu chochote. Wanaweza kuona tusipoweza kuona nyuma na mbele ya tarehe zetu za kuzaliwa.
- Enock Maregesi